SHUBIRI

Wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki, ila kwa baadhi najua.
Laiti ningeelewa kuvuma kwa paper, kutabadili misimu ya jua.
Basi nenda, nami nitaundaganya moyo Utatulia

Mapenzi yanatawala dunia sawa
Lakini nimechoka kutawaliwa.
Kwani uwepo wako sawa na Uwa
Huli asali analinda waliwa
Basi nenda, nami nitaundaganya moyo Utatulia

Siwezi kubishana na moyo,
Ingawa nilikupenda kipepeo
Bali Ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha, yo!
Basi nenda, nami nitaundaganya moyo Utatulia

Nilishajua mwenendo yako
Sisi tusingewezana
Kumbe nakunywa maji ya moto
Nami bado ningali mtoto
Kwangu changamoto
Basi nenda, nami nitaundaganya moyo utatulia

Waliposema hufai kwangu
Nilijipa moyo hayo ni ya walimwengu
Sasa nishaelewa pangu
Sina haja kungangana.

Basi nenda, nami nitafute sababu ya kurithia
Sawa nenda, nami nitaundaganya moyo Utatulia

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s